Ayubu 15:9
Wewe unajua kitu gani tusichokijua sisi? 2 Unafahamu kitu gani tusichokifahamu sisi? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
What knowest thou, that we know not? what understandest thou, which is not in us?
In Context
8Je, wewe husikiliza mashauri ya siri ya Mungu? 2 Je, wewe unaizuia hekima iwe yako mwenyewe? 1
10Wale wenye mvi na wazee wako upande wetu, 2 watu ambao ni wazee hata kuliko baba yako. 1
Cross References
Job 12:3Lakini mimi ninao ufahamu kama ninyi; 2 mimi si duni kwenu. 2 Ni nani asiyejua mambo haya yote? 1
Job 26:3Ni shauri gani ulilompa yeye asiye na hekima? 2 Nayo ni busara gani kubwa uliyoonyesha! 1
2 Corinthians 11:5Lakini sidhani ya kuwa mimi ni dhalili sana kuliko hao “mitume wakuu.”