Ayubu 12:3
Lakini mimi ninao ufahamu kama ninyi; 2 mimi si duni kwenu. 2 Ni nani asiyejua mambo haya yote? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
2“Bila shaka ninyi ndio watu, 2 nayo hekima itakoma mtakapokufa! 1
Cross References
Job 13:2Hayo mnayoyajua mimi pia ninayajua; 2 mimi si mtu duni kuliko ninyi. 1
Proverbs 26:4Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, 2 ama wewe mwenyewe utakuwa kama yeye. 1
2 Corinthians 11:21Kwa aibu inanipasa niseme kwamba sisi tulikuwa dhaifu sana kwa jambo hilo! Lakini chochote ambacho mtu mwingine yeyote angethubutu kujisifia, nanena kama mjinga, nami nathubutu kujisifu juu ya hilo.