The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 16 › Ayubu 16:10

Ayubu 16:10

Watu wamenifumbulia vinywa vyao kunidhihaki; 2 hunipiga shavuni mwangu kwa dharau, 2 na kuungana pamoja dhidi yangu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They have gaped upon me with their mouth; they have smitten me upon the cheek reproachfully; they have gathered themselves together against me.

In Context

9Mungu amenishambulia na kunirarua katika hasira yake, 2 na kunisagia meno yake; 2 adui yangu hunikazia macho yake makali. 1

11Mungu amenigeuzia kwa watu wabaya, 2 na kunitupa katika makucha ya waovu. 1

Read all of Ayubu 16

Cross References

2 Chronicles 18:23Kisha Sedekia mwana wa Kenaana akatoka na kumpiga Mikaya kofi usoni. Akauliza, “Huyo Roho kutoka kwa Bwana alipita njia gani alipotoka kwangu ili kusema nawe?”

Psalms 22:14Nimemiminwa kama maji, 2 mifupa yangu yote imetoka katika viungo vyake. 1 Moyo wangu umegeuka kuwa nta, 2 umeyeyuka ndani yangu. 1

Psalms 35:15Lakini nilipojikwaa, 2 walikusanyika kwa shangwe; 1 washambuliaji walijikusanya dhidi yangu 2 bila mimi kujua. 2 Walinisingizia pasipo kukoma. 1

Psalms 56:6Wananifanyia hila, wanajificha, 2 wanatazama hatua zangu, 2 wakiwa na shauku ya kuutoa uhai wangu. 1

Isaiah 50:6Niliwapa mgongo wangu wale wanipigao, 2 mashavu yangu wale wangʼoao ndevu zangu; 1 sikuuficha uso wangu kutokana na fedheha 2 na kutemewa mate. 1

Micah 5:1Panga majeshi yako, ee mji wa majeshi, 2 kwa kuwa kuzingirwa kumepangwa dhidi yetu. 1 Watampiga mtawala wa Israeli 2 shavuni kwa fimbo. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 16:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 16:9Ayubu 16Ayubu 16:11 →