The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 16 › Ayubu 16:11

Ayubu 16:11

Mungu amenigeuzia kwa watu wabaya, 2 na kunitupa katika makucha ya waovu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

God hath delivered me to the ungodly, and turned me over into the hands of the wicked.

In Context

10Watu wamenifumbulia vinywa vyao kunidhihaki; 2 hunipiga shavuni mwangu kwa dharau, 2 na kuungana pamoja dhidi yangu. 1

12Mambo yote yalikuwa mazuri, lakini alinivunjavunja; 2 amenikamata shingo na kuniponda. 2 Amenifanya mimi kuwa shabaha yake; 1

Read all of Ayubu 16

Cross References

Job 1:13Siku moja watoto wa Ayubu walipokuwa wakifanya karamu wakila na kunywa divai katika nyumba ya ndugu yao mkubwa,

Psalms 7:14Yeye aliye na mimba ya uovu 2 na achukuaye mimba ya ghasia huzaa uongo. 1

Psalms 31:8Hukunikabidhi kwa adui yangu 2 bali umeiweka miguu yangu mahali penye nafasi. 1

Romans 11:32Kwa maana Mungu amewafunga wanadamu wote kwenye kuasi ili apate kuwarehemu wote. 1 Wimbo Wa Shukrani 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 16:11

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 16:10Ayubu 16Ayubu 16:12 →