The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 16 › Ayubu 16:9

Ayubu 16:9

Mungu amenishambulia na kunirarua katika hasira yake, 2 na kunisagia meno yake; 2 adui yangu hunikazia macho yake makali. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He teareth me in his wrath, who hateth me: he gnasheth upon me with his teeth; mine enemy sharpeneth his eyes upon me.

In Context

8Umenikunjakunja, nalo limekuwa ushahidi; 2 nako kukonda kwangu kumeongezeka sana na kushuhudia dhidi yangu. 1

10Watu wamenifumbulia vinywa vyao kunidhihaki; 2 hunipiga shavuni mwangu kwa dharau, 2 na kuungana pamoja dhidi yangu. 1

Read all of Ayubu 16

Cross References

Job 6:4Mishale ya Mwenyezi iko ndani yangu, 2 roho yangu inakunywa sumu yake; 2 vitisho vya Mungu vimejipanga dhidi yangu. 1

Job 13:24Kwa nini kuuficha uso wako 2 na kunihesabu mimi kuwa adui yako? 1

Job 18:4Wewe unayejirarua mwenyewe vipande vipande 2 katika hasira yako, 1 je, dunia iachwe kwa ajili yako wewe? 2 Au ni lazima miamba iondolewe mahali pake? 1

Psalms 35:16Kama watu wasiomcha Mungu, wamenidhihaki, 2 wamenisagia meno. 1

Psalms 50:22“Yatafakarini haya, ninyi mnaomsahau Mungu, 2 ama sivyo nitawararua vipande vipande, 2 wala hapatakuwepo na yeyote wa kuwaokoa: 1

Lamentations 3:10Kama dubu aviziaye, 2 kama simba mafichoni, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 16:9

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 16:8Ayubu 16Ayubu 16:10 →