Ayubu 16:8
Umenikunjakunja, nalo limekuwa ushahidi; 2 nako kukonda kwangu kumeongezeka sana na kushuhudia dhidi yangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
7Ee Mungu, hakika umenichakaza; 2 umewaangamiza kabisa watu wa nyumbani mwangu wote. 1
Cross References
Ruth 1:21Mimi niliondoka hali nimejaa, lakini Bwana amenirudisha mtupu. Kwa nini kuniita Naomi? Bwana amenitendea mambo machungu; Mwenyezi ameniletea msiba.”
Job 19:20Mimi nimebaki mifupa na ngozi tu; 2 nimeponea nikiwa karibu kufa. 1
Psalms 109:24Magoti yangu yamelegea kwa kufunga, 2 mwili wangu umedhoofika na kukonda. 1
Isaiah 24:16Kutoka miisho ya dunia tunasikia uimbaji: 2 “Utukufu kwa Yule Mwenye Haki.” 1 Lakini nilisema, “Ninadhoofika, ninadhoofika! 2 Ole wangu! 1 Watenda hila wanasaliti! 2 Kwa hila watenda hila wanasaliti!” 1