The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 17 › Ayubu 17:5

Ayubu 17:5

Kama mtu akiwashutumu rafiki zake ili apate ujira, 2 macho ya watoto wake yatashindwa kuona. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He that speaketh flattery to his friends, even the eyes of his children shall fail.

In Context

4Umezifunga akili zao zisipate ufahamu, 2 kwa hiyo hutawaacha wapate ushindi. 1

6“Mungu amenifanya kitu cha dhihaka kwa kila mtu, 2 mtu ambaye watu humtemea mate usoni. 1

Read all of Ayubu 17

Cross References

Exodus 20:5Usivisujudie wala kuviabudu; kwa kuwa Mimi, Bwana Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, ninayewaadhibu watoto kwa ajili ya dhambi za baba zao hadi kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,

1 Kings 11:12Hata hivyo, kwa ajili ya Daudi baba yako, sitafanya jambo hili wakati wa uhai wako. Nitaurarua kutoka mikononi mwa mwanao.

Job 32:21Sitampendelea mtu yeyote, 2 wala sitajipendekeza kwa mtu yeyote; 1

Proverbs 20:19Maneno ya kusengenya husababisha kutokuaminika, 2 kwa hiyo mwepuke mtu anayezungumza kupita kiasi. 1

Lamentations 4:17Zaidi ya hayo, macho yetu yalichoka, 2 kwa kutazamia bure msaada; 1 tuliangalia kutoka minara yetu 2 kwa taifa lisiloweza kutuokoa. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 17:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 17:4Ayubu 17Ayubu 17:6 →