Ayubu 17:4
Umezifunga akili zao zisipate ufahamu, 2 kwa hiyo hutawaacha wapate ushindi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For thou hast hid their heart from understanding: therefore shalt thou not exalt them.
In Context
3“Ee Mungu, nipe dhamana unayodai. 2 Ni nani mwingine atakayeweka dhamana kwa ajili yangu? 1
5Kama mtu akiwashutumu rafiki zake ili apate ujira, 2 macho ya watoto wake yatashindwa kuona. 1
Cross References
2 Samuel 15:31Basi Daudi alikuwa ameambiwa, “Ahithofeli alikuwa miongoni mwa washiriki wa shauri baya la Absalomu.” Ndipo Daudi akaomba, akisema, “Ee Bwana, geuza shauri la Ahithofeli kuwa ujinga.”
2 Chronicles 25:16Wakati nabii alipokuwa angali anazungumza, mfalme akamwambia, “Je, wewe tumekuchagua kuwa mshauri wa mfalme? Nyamaza, ya nini uuawe?” Hivyo nabii akanyamaza lakini akasema, “Najua kuwa Mungu ameazimia kukuangamiza kwa sababu umefanya jambo hili na hukusikiliza shauri langu.”
Matthew 11:25Wakati huo Yesu alisema, “Nakuhimidi Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa umewaficha mambo haya wenye hekima na wenye elimu, nawe ukawafunulia watoto wadogo.
Romans 11:8kama ilivyoandikwa: 1 “Mungu aliwapa bumbuazi la mioyo, 2 macho ili wasiweze kuona, 2 na masikio ili wasiweze kusikia, 1 hadi leo.”