Ayubu 17:6
“Mungu amenifanya kitu cha dhihaka kwa kila mtu, 2 mtu ambaye watu humtemea mate usoni. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He hath made me also a byword of the people; and aforetime I was as a tabret.
In Context
5Kama mtu akiwashutumu rafiki zake ili apate ujira, 2 macho ya watoto wake yatashindwa kuona. 1
7Macho yangu yamefifia kwa ajili ya majonzi; 2 umbile langu lote ni kama kivuli. 1
Cross References
Genesis 31:27Kwa nini ulikimbia kwa siri na kunidanganya? Kwa nini hukuniambia ili nikuage kwa furaha na nyimbo za matari na vinubi?
Job 30:9“Nao sasa wana wao wananidhihaki katika nyimbo; 2 nimekuwa kitu cha dhihaka kwao. 1
Psalms 44:15Fedheha yangu iko mbele yangu mchana kutwa, 2 na uso wangu umejaa aibu tele, 1
Isaiah 5:12Wana vinubi na zeze kwenye karamu zao, 2 matari, filimbi na mvinyo, 1 lakini hawayajali matendo ya Bwana, 2 wala hawana heshima kwa ajili ya kazi ya mikono yake. 1