Ayubu 17:7
Macho yangu yamefifia kwa ajili ya majonzi; 2 umbile langu lote ni kama kivuli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Mine eye also is dim by reason of sorrow, and all my members are as a shadow.
In Context
6“Mungu amenifanya kitu cha dhihaka kwa kila mtu, 2 mtu ambaye watu humtemea mate usoni. 1
8Watu wanyofu wanatishwa na hili; 2 watu wasio na hatia wanasimama dhidi ya wasiomcha Mungu. 1
Cross References
Job 16:8Umenikunjakunja, nalo limekuwa ushahidi; 2 nako kukonda kwangu kumeongezeka sana na kushuhudia dhidi yangu. 1
Psalms 6:7Macho yangu yamedhoofika kwa kuhuzunika, 2 yamedhoofika kwa sababu ya adui zangu wote. 1
Psalms 31:9Ee Bwana unihurumie, kwa kuwa niko kwenye shida; 2 macho yangu yanafifia kwa huzuni, 2 nafsi yangu na mwili wangu kwa sikitiko. 1
Ecclesiastes 6:12Kwa maana ni nani anayejua lililo jema kwa ajili ya maisha ya mwanadamu, katika siku chache na za ubatili anazopita kama kivuli? Ni nani awezaye kumwambia yatakayotokea chini ya jua baada ya yeye kuondoka?