Ayubu 18:11
Vitisho vimemtia hofu kila upande, 2 na adui zake humwandama kila hatua. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Terrors shall make him afraid on every side, and shall drive him to his feet.
In Context
10Kitanzi kimefichwa ardhini kwa ajili yake; 2 mtego uko kwenye njia yake. 1
12Janga linamwonea shauku; 2 maafa yako tayari kwa ajili yake aangukapo. 1
Cross References
Leviticus 26:36“ ‘Kwa habari ya wenzenu wale watakaobaki, nitaifanya mioyo yao kuwa na hofu kuu katika nchi za adui zao, kiasi kwamba sauti ya jani linalopeperushwa na upepo itawafanya wakimbie. Watakimbia kana kwamba wanakimbia upanga, nao wataanguka, ingawa hakuna anayewafukuza.
2 Kings 7:6kwa kuwa Bwana alilifanya jeshi la Waaramu lisikie sauti kama ya magari ya vita, farasi na jeshi kubwa, kiasi kwamba waliambiana, “Tazama, mfalme wa Israeli ameajiri mfalme wa Wahiti na mfalme wa Wamisri kuja kutushambulia sisi!”
Job 15:21Sauti za kutisha hujaa masikioni mwake; 2 katika kufanikiwa kwake, wanyangʼanyi humshambulia. 1
Job 20:25Atauchomoa katika mgongo wake, 2 ncha ingʼaayo kutoka ini lake. 1 Vitisho vitakuja juu yake; 2
Job 27:20Vitisho humjia kama mafuriko; 2 dhoruba humkumba ghafula usiku. 1
Psalms 73:19Tazama jinsi wanavyoangamizwa ghafula, 2 wanatoweshwa kabisa na vitisho! 1