Ayubu 18:12
Janga linamwonea shauku; 2 maafa yako tayari kwa ajili yake aangukapo. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
His strength shall be hungerbitten, and destruction shall be ready at his side.
In Context
11Vitisho vimemtia hofu kila upande, 2 na adui zake humwandama kila hatua. 1
13Nayo yatakula sehemu ya ngozi yake; 2 mzaliwa wa kwanza wa mauti atakula maungo yake. 1
Cross References
1 Samuel 2:5Wale waliokuwa na chakula tele wamejikodisha wenyewe 2 ili kupata chakula, 1 lakini wale waliokuwa na njaa 2 hawana njaa tena. 1 Mwanamke yule aliyekuwa tasa 2 amezaa watoto saba, 1 lakini yule ambaye alikuwa na wana wengi 2 amedhoofika. 1
Job 15:23Hutangatanga, akitafuta chakula; 2 anajua kwamba siku ya giza iko karibu. 1
Psalms 34:10Wana simba wenye nguvu 2 hutindikiwa na kuona njaa, 1 bali wale wamtafutao Bwana 2 hawatakosa kitu chochote kilicho chema. 1
Isaiah 8:21Watazunguka katika nchi yote, wakiwa na dhiki na njaa. Watakapotaabika kwa njaa, watapatwa na hasira kali, nao, wakiwa wanatazama juu, watamlaani mfalme wao na Mungu wao.
2 Peter 2:3Nao katika tamaa zao mbaya, walimu hawa watajipatia faida kwenu kwa hadithi walizotunga wenyewe. Lakini hukumu imekwisha kutangazwa dhidi yao tangu zamani, wala uangamivu wao haujalala usingizi.