The Bible Software
bible.softwareProverbsProverbs 11 › Proverbs 11:5

Proverbs 11:5

Haki ya wasio na lawama, huwatengenezea njia iliyonyooka, 2 bali waovu huangushwa kwa uovu wao wenyewe. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

The righteousness of the perfect shall direct his way: but the wicked shall fall by his own wickedness.

In Context

4Utajiri haufaidi kitu katika siku ya ghadhabu, 2 bali haki huokoa kutoka mautini. 1

6Haki ya wanyofu huwaokoa, 2 bali wasio waaminifu hunaswa na tamaa mbaya. 1

Read all of Proverbs 11

Cross References

2 Samuel 17:23Ahithofeli alipoona kwamba shauri lake halikufuatwa, akatandika punda wake, akaondoka kwenda nyumbani kwake kwenye mji wake. Akaiweka nyumba yake katika utaratibu, kisha akajinyonga mwenyewe. Hivyo akafa na akazikwa katika kaburi la baba yake.

Job 18:7Nguvu za hatua zake zimedhoofishwa; 2 shauri lake baya litamwangusha. 1

Proverbs 1:18Watu hawa huvizia kumwaga damu yao wenyewe; 2 hujivizia tu wenyewe! 1

Proverbs 3:6katika njia zako zote mkiri yeye, 2 naye atayanyoosha mapito yako. 1

Proverbs 11:3Uadilifu wa wenye haki huwaongoza, 2 bali wasio waaminifu huharibiwa na hila yao. 1

Proverbs 14:32Waovu huangamizwa kwa matendo yao maovu, 2 bali hata katika kifo wenye haki hupata kimbilio. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Proverbs 11:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Proverbs 11:4Proverbs 11Proverbs 11:6 →