The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 19 › Ayubu 19:10

Ayubu 19:10

Amenibomoa kila upande hadi nimeisha; 2 amelingʼoa tegemeo langu kama mti. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He hath destroyed me on every side, and I am gone: and mine hope hath he removed like a tree.

In Context

9Amenivua heshima yangu, 2 na kuniondolea taji kichwani pangu. 1

11Hasira yake imewaka juu yangu; 2 amenihesabu kuwa miongoni mwa adui zake. 1

Read all of Ayubu 19

Cross References

Job 1:13Siku moja watoto wa Ayubu walipokuwa wakifanya karamu wakila na kunywa divai katika nyumba ya ndugu yao mkubwa,

Job 6:11“Ninazo nguvu gani, hata niendelee kutumaini? 2 Matazamio yangu ya mbele ni nini, hata niendelee kuwa mvumilivu? 1

Job 8:13Huu ndio mwisho wa watu wote wanaomsahau Mungu; 2 vivyo hivyo matumaini ya wasiomjali Mungu huangamia. 1

Job 14:19kama maji yamalizavyo mawe, 2 na mafuriko yachukuavyo udongo, 2 ndivyo unavyoharibu tegemeo la mwanadamu. 1

Job 17:15liko wapi basi tarajio langu? 2 Ni nani awezaye kuona tarajio lolote kwa ajili yangu? 1

Psalms 37:35Nimemwona mtu mwovu na mkatili akistawi 2 kama mwerezi wa Lebanoni, 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 19:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 19:9Ayubu 19Ayubu 19:11 →