Ayubu 19:9
Amenivua heshima yangu, 2 na kuniondolea taji kichwani pangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He hath stripped me of my glory, and taken the crown from my head.
In Context
8Yeye ameizuia njia yangu hivyo siwezi kupita; 2 ameyafunika mapito yangu na giza. 1
10Amenibomoa kila upande hadi nimeisha; 2 amelingʼoa tegemeo langu kama mti. 1
Cross References
Job 29:7“Wakati nilipokwenda kwenye lango la mji 2 na kuketi katika kiwanja, 1
Job 30:1“Lakini sasa watu wadogo kwa umri kuniliko wananidhihaki, 1 watu ambao baba zao ningekataa kwa dharau 2 kuwaweka pamoja na mbwa wangu wa kulinda kondoo. 1
Psalms 89:39Umelikana agano lako na mtumishi wako, 2 na umeinajisi taji yake mavumbini. 1
Psalms 89:44Umeikomesha fahari yake, 2 na kukiangusha kiti chake cha enzi. 1
Lamentations 5:16Taji imeanguka kutoka kichwani petu. 2 Ole wetu, kwa maana tumetenda dhambi! 1