Job 19:21
“Nihurumieni, rafiki zangu, kuweni na huruma, 2 kwa kuwa mkono wa Mungu umenipiga. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Have pity upon me, have pity upon me, O ye my friends; for the hand of God hath touched me.
In Context
20Mimi nimebaki mifupa na ngozi tu; 2 nimeponea nikiwa karibu kufa. 1
22Kwa nini mnanifuatia kama Mungu afanyavyo? 2 Hamtosheki kamwe na mwili wangu? 1
Cross References
Ruth 1:13je, mngesubiri mpaka wakue? Mngebakia bila kuolewa mkiwasubiri? La, hasha, binti zangu. Nimepata uchungu kuliko ninyi, kwa sababu mkono wa Bwana umekuwa kinyume nami!”
Job 2:5Lakini nyoosha mkono wako na kuipiga nyama yake na mifupa yake, naye kwa hakika atakulaani mbele za uso wako.”
Job 6:4Mishale ya Mwenyezi iko ndani yangu, 2 roho yangu inakunywa sumu yake; 2 vitisho vya Mungu vimejipanga dhidi yangu. 1
Psalms 38:2Kwa kuwa mishale yako imenichoma, 2 na mkono wako umenishukia. 1
Romans 12:15Furahini pamoja na wenye kufurahi, lieni pamoja na wale waliao.
Hebrews 13:3Wakumbukeni wale waliofungwa gerezani kana kwamba ninyi mmefungwa pamoja nao. Pia wakumbukeni wale wanaotendewa vibaya, kana kwamba ni ninyi wenyewe mnateswa.