Warumi 12:15
Furahini pamoja na wenye kufurahi, lieni pamoja na wale waliao.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Rejoice with them that do rejoice, and weep with them that weep.
In Context
14Wabarikini wale wanaowatesa, barikini wala msilaani.
Cross References
Nehemiah 1:4Niliposikia mambo haya, niliketi, nikalia. Kwa siku kadhaa niliomboleza na kufunga na kuomba mbele za Mungu wa mbinguni.
Job 30:25Je, sikulia kwa ajili ya wale waliokuwa katika taabu? 2 Je, nafsi yangu haikusononeka kwa ajili ya maskini? 1
Isaiah 66:10“Shangilieni pamoja na Yerusalemu na mfurahi kwa ajili yake, 2 ninyi nyote mnaompenda, 1 shangilieni kwa nguvu pamoja naye, 2 ninyi nyote mnaoomboleza juu yake. 1
Jeremiah 38:12Ebed-Meleki Mkushi akamwambia Yeremia, “Weka haya matambaa makuukuu na hizo nguo zilizochakaa makwapani ili kuzuia kamba.” Yeremia akafanya hivyo,
Luke 15:5Naye akishampata, humbeba mabegani mwake kwa furaha
John 11:33Yesu alipomwona Maria akilia na wale Wayahudi waliokuja pamoja naye pia wakilia, Yesu alisikia uchungu moyoni, akafadhaika sana.