The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 19 › Ayubu 19:25

Ayubu 19:25

Ninajua kwamba Mkombozi + 19:25 Au: Mtetezi. wangu yu hai, 2 naye kwamba mwishoni atasimama juu ya nchi. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For I know that my redeemer liveth, and that he shall stand at the latter day upon the earth:

In Context

24kwamba yangechorwa kwenye risasi kwa kifaa cha chuma, 2 au kuyachonga juu ya mwamba milele! 1

26Nami baada ya ngozi yangu kuharibiwa, 2 bado nikiwa na mwili huu nitamwona Mungu; 1

Read all of Ayubu 19

Cross References

Genesis 3:15Nami nitaweka uadui 2 kati yako na huyo mwanamke, 2 na kati ya uzao wako na wake, 1 yeye atakuponda kichwa, 2 nawe utamuuma kisigino.”

Job 16:19Hata sasa shahidi wangu yuko mbinguni; 2 wakili wangu yuko juu. 1

Psalms 19:14Maneno ya kinywa changu 2 na mawazo ya moyo wangu, 1 yapate kibali mbele zako, Ee Bwana, 2 Mwamba wangu na Mkombozi wangu.

Proverbs 23:11kwa kuwa Mtetezi wao ni mwenye nguvu, 2 atalichukua shauri lao dhidi yako. 1

Isaiah 43:14Hili ndilo Bwana asemalo, 2 Mkombozi wako, yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli: 1 “Kwa ajili yenu nitatumana Babeli 2 na kuwaleta Wakaldayo wote kama wakimbizi, 2 katika meli walizozionea fahari. 1

Isaiah 59:20“Mkombozi atakuja Sayuni, 2 kwa wale wa Yakobo 2 wanaozitubu dhambi zao,” 4 asema Bwana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 19:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 19:24Ayubu 19Ayubu 19:26 →