Ayubu 19:27
mimi nitamwona kwa macho yangu mwenyewe: 2 mimi, wala si mwingine. 2 Tazama jinsi moyo wangu unavyomtamani sana! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
26Nami baada ya ngozi yangu kuharibiwa, 2 bado nikiwa na mwili huu nitamwona Mungu; 1
28“Kama mkisema, ‘Tazama tutakavyomwinda, 2 maadamu mzizi wa tatizo uko ndani yake,’ 1
Cross References
Numbers 24:17“Namwona yeye, lakini si sasa; 2 namtazama yeye, lakini si karibu. 1 Nyota itatoka kwa Yakobo, 2 fimbo ya ufalme itainuka kutoka kwa Israeli. 1 Atawaponda Wamoabu vipaji vya nyuso 2 na mafuvu yote ya wana wa Shethi. 1
Psalms 17:15Na mimi katika haki nitauona uso wako, 2 niamkapo, nitaridhika kwa kuona sura yako.
Psalms 119:81Nafsi yangu inazimia kwa kutamani wokovu wako, 2 lakini nimeweka tumaini langu katika neno lako. 1
Isaiah 33:17Macho yenu yatamwona mfalme katika uzuri wake 2 na kuiona nchi inayoenea mbali. 1