The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 19 › Ayubu 19:29

Ayubu 19:29

ninyi wenyewe uogopeni upanga, 2 kwa kuwa ghadhabu italeta adhabu kwa upanga, 2 nanyi ndipo mtakapojua kwamba kuna hukumu.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Be ye afraid of the sword: for wrath bringeth the punishments of the sword, that ye may know there is a judgment.

In Context

28“Kama mkisema, ‘Tazama tutakavyomwinda, 2 maadamu mzizi wa tatizo uko ndani yake,’ 1

Read all of Ayubu 19

Cross References

Job 13:7Je, mtazungumza kwa uovu kwa niaba ya Mungu? 2 Je, mtazungumza kwa udanganyifu kwa niaba yake? 1

Job 22:4“Je, ni kwa ajili ya utaua wako ndiyo maana anakukemea 2 na kuleta mashtaka dhidi yako? 1

Psalms 9:7Bwana anatawala milele, 2 ameweka kiti chake cha enzi apate kuhukumu. 1

Ecclesiastes 11:9Furahi ewe kijana, wakati ungali kijana, 2 moyo wako na ukupe furaha 2 katika siku za ujana wako. 1 Fuata njia za moyo wako 2 na chochote macho yako yaonayo, 1 lakini ujue kwamba kwa ajili ya haya yote 2 Mungu atakuleta hukumuni. 1

Matthew 7:1“Usihukumu ili usije ukahukumiwa.

James 4:11Ndugu, msineneane mabaya ninyi kwa ninyi. Mtu yeyote anayesema mabaya dhidi ya ndugu yake au kumhukumu anasema dhidi ya sheria na kuihukumu. Unapoihukumu sheria, basi huishiki sheria bali umekuwa hakimu wa kuihukumu hiyo sheria.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 19:29

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 19:28Ayubu 19