The Bible Software
bible.softwareJobJob 22 › Job 22:4

Job 22:4

“Je, ni kwa ajili ya utaua wako ndiyo maana anakukemea 2 na kuleta mashtaka dhidi yako? 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Will he reprove thee for fear of thee? will he enter with thee into judgment?

In Context

3Je, Mwenyezi angefurahia nini 2 kama ungekuwa mwadilifu? 1 Au je, yeye angepata faida gani 2 kama njia zako zingekuwa kamilifu? 1

5Je, uovu wako si mkuu? 2 Dhambi zako si hazina mwisho? 1

Read all of Job 22

Cross References

Job 9:19Kama ni suala la nguvu, yeye ni mwenye nguvu! 2 Kama ni suala la haki, ni nani awezaye kumwita mahakamani? 1

Job 14:3Je, unamwekea jicho lako mtu kama huyo? 2 Je, utamleta mbele yako katika hukumu? 1

Job 19:29ninyi wenyewe uogopeni upanga, 2 kwa kuwa ghadhabu italeta adhabu kwa upanga, 2 nanyi ndipo mtakapojua kwamba kuna hukumu.”

Job 34:23Mungu hana haja ya kumchunguza mtu sana, 2 ili apate kuja mbele zake kwa hukumu. 1

Psalms 76:6Kwa kukemea kwako, Ee Mungu wa Yakobo, 2 farasi na gari la vita vilikaa kimya. 1

Psalms 130:3Kama wewe, Ee Bwana, ungeweka kumbukumbu ya dhambi, 2 Ee Bwana, ni nani angeliweza kusimama? 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 22:4

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 22:3Job 22Job 22:5 →