Job 2:6
Bwana akamwambia Shetani, “Vema sana, kwa hiyo, yeye yumo mikononi mwako, lakini lazima umwachie uhai wake.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the LORD said unto Satan, Behold, he is in thine hand; but save his life.
In Context
Cross References
2 Chronicles 18:21“Akasema, ‘Nitakwenda na kuwa roho ya uongo katika vinywa vya manabii wake wote.’ “ Bwana akasema, ‘Utafanikiwa katika kumshawishi. Nenda ukafanye hivyo.’
Job 1:12Bwana akamwambia Shetani, “Vema sana, kwa hiyo, kila kitu alicho nacho kiko mikononi mwako, lakini juu ya huyo mtu mwenyewe usimguse hata kwa kidole.” Ndipo Shetani akatoka mbele za Bwana.
Psalms 65:7uliyenyamazisha dhoruba za bahari, 2 ngurumo za mawimbi yake, 2 na ghasia za mataifa. 1
Luke 12:23Maisha ni zaidi ya chakula, na mwili ni zaidi ya mavazi.
1 Corinthians 10:13Hakuna jaribu lolote lililowapata ambalo si la kawaida kwa wanadamu. Naye Mungu ni mwaminifu; hataruhusu mjaribiwe kupita mnavyoweza. Lakini mnapojaribiwa atawapa njia ya kutokea ili mweze kustahimili. 1 Karamu Za Sanamu Na Meza Ya Bwana
Revelation 20:1Kisha nikaona malaika akishuka kutoka mbinguni, akiwa ameshika ufunguo wa lile Shimo na mnyororo mkubwa mkononi mwake.