The Bible Software
bible.software › Isaya › Isaya 61 › Isaya 61:3

Isaya 61:3

na kuwapa mahitaji 2 wale wanaohuzunika katika Sayuni, 1 ili kuwapa taji ya uzuri badala ya majivu, 2 mafuta ya furaha badala ya maombolezo, 2 vazi la sifa badala ya roho ya kukata tamaa. 1 Nao wataitwa mialoni ya haki, 2 pando la Bwana, 2 ili kuonyesha utukufu wake. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

To appoint unto them that mourn in Zion, to give unto them beauty for ashes, the oil of joy for mourning, the garment of praise for the spirit of heaviness; that they might be called trees of righteousness, the planting of the LORD, that he might be glorified.

In Context

2kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa, 2 na siku ya kisasi ya Mungu wetu, 1 kuwafariji wote waombolezao, 2

4Watajenga upya magofu ya zamani 2 na kupatengeneza mahali palipoachwa ukiwa zamani; 1 watafanya upya miji iliyoharibiwa, 2 iliyoachwa ukiwa kwa vizazi vingi. 1

Read all of Isaya 61

Cross References

Esther 8:15Mordekai akaondoka mbele ya mfalme akiwa amevaa mavazi ya kifalme ya buluu na nyeupe, taji kubwa la dhahabu na joho la zambarau la kitani safi. Na mji wa Shushani ukasherehekea kwa furaha.

Psalms 23:5Waandaa meza mbele yangu 2 machoni pa adui zangu. 1 Umenipaka mafuta kichwani pangu, 2 kikombe changu kinafurika. 1

Psalms 30:12ili moyo wangu uweze kukusifu na usikae kimya. 2 Ee Bwana Mungu wangu, nitakushukuru milele.

Psalms 92:12Wenye haki watastawi kama mtende, 2 watakuwa kama mwerezi wa Lebanoni, 1

Ecclesiastes 9:8Daima uvae nguo nyeupe na daima upake kichwa chako mafuta.

Isaiah 60:20Jua lako halitazama tena, 2 nao mwezi wako hautafifia tena; 1 Bwana atakuwa nuru yako milele, 2 nazo siku zako za huzuni zitakoma. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Isaya 61:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Isaya 61:2Isaya 61Isaya 61:4 →