Ayubu 20:10
Watoto wake watalipa yote baba yao aliyowadhulumu maskini, 2 nayo mikono yake itarudisha mali yote aliyonyangʼanya watu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
His children shall seek to please the poor, and his hands shall restore their goods.
In Context
9Jicho lililomwona halitamwona tena; 2 mahali pake hapatamwona tena. 1
11Nguvu za ujana zilizoijaza mifupa yake, 2 zitalala naye mavumbini. 1
Cross References
Exodus 9:2Kama ukikataa kuwaachia waende, nawe ukiendelea kuwashikilia,
Exodus 22:1“Kama mtu akiiba maksai au kondoo na kumchinja au kumuuza, ni lazima alipe ngʼombe watano badala ya maksai mmoja na kondoo wanne badala ya kondoo mmoja.
2 Samuel 12:6Lazima alipe mara nne zaidi, kwa ajili ya kondoo huyo, kwa sababu amefanya jambo kama hilo na hakuwa na huruma.”
Job 20:18Vile alivyovitaabikia atavirudisha bila kuvila; 2 hatafurahia faida itokanayo na biashara yake. 1
Psalms 109:10Watoto wake na watangetange wakiomba, 2 na wafukuzwe kwenye magofu ya nyumba zao. 1
Proverbs 28:3Mtu maskini amwoneaye yeye aliye maskini zaidi 2 ni kama mvua ya dhoruba isiyosaza mazao. 1