Ayubu 20:11
Nguvu za ujana zilizoijaza mifupa yake, 2 zitalala naye mavumbini. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
His bones are full of the sin of his youth, which shall lie down with him in the dust.
In Context
12“Ingawa uovu ni mtamu kinywani mwake 2 naye huuficha chini ya ulimi wake, 1
Cross References
Job 13:26Kwa kuwa unaandika mambo machungu dhidi yangu 2 na kunifanya nizirithi dhambi za ujana wangu. 1
Job 19:20Mimi nimebaki mifupa na ngozi tu; 2 nimeponea nikiwa karibu kufa. 1
Psalms 25:7Usizikumbuke dhambi za ujana wangu 2 wala njia zangu za uasi, 1 sawasawa na upendo wako unikumbuke, 2 kwa maana wewe ni mwema, Ee Bwana. 1
Proverbs 5:22Matendo mabaya ya mtu mwovu humnasa yeye mwenyewe; 2 kamba za dhambi yake humkamata kwa nguvu. 1
Ezekiel 24:13“ ‘Sasa uchafu wako ni uasherati wako. Kwa sababu nilijaribu kukutakasa lakini haikuwezekana kutakaswa kutoka kwenye huo uchafu wako, hutatakasika tena mpaka ghadhabu yangu dhidi yako iwe imepungua.
John 8:21Yesu akawaambia tena, “Ninaenda zangu, nanyi mtanitafuta, lakini mtakufa katika dhambi zenu. Niendako mimi ninyi hamwezi kuja.”