Ayubu 20:18
Vile alivyovitaabikia atavirudisha bila kuvila; 2 hatafurahia faida itokanayo na biashara yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
17Hatafurahia vijito, 2 mito inayotiririsha asali na siagi. 1
19Kwa kuwa aliwaonea maskini na kuwaacha pasipo kitu; 2 amenyangʼanya kwa nguvu nyumba asizozijenga. 1
Cross References
Deuteronomy 28:33Taifa usilolijua watakula mazao ya nchi yako na taabu ya kazi yako, hutakuwa na chochote, bali kuonewa kikatili siku zako zote.
Job 20:10Watoto wake watalipa yote baba yao aliyowadhulumu maskini, 2 nayo mikono yake itarudisha mali yote aliyonyangʼanya watu. 1
Job 31:25kama nimefurahia wingi wa utajiri wangu, 2 ustawi ambao mikono yangu ilikuwa imepata, 1
Proverbs 1:12tuwameze wakiwa hai kama kaburi, + 1:12 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol. 2 wakiwa wazima kama wale wanaotumbukia shimoni. 1
Jeremiah 11:15“Mpenzi wangu anafanya nini hekaluni mwangu, 2 anapofanya mashauri yake maovu na wengi? 1 Je, nyama iliyowekwa wakfu yaweza 2 kuondolea mbali adhabu yako? 1 Unapojiingiza katika ubaya wako, 2 ndipo unashangilia.” 1
Jeremiah 22:17“Lakini macho yako na moyo wako vimeelekezwa tu 2 katika mapato ya udhalimu, 1 kwa kumwaga damu isiyo na hatia, 2 kwa uonevu na ukatili.”