Job 21:24
mwili wake ukiwa umenawiri, 2 nayo mifupa yake ikiwa imejaa mafuta ndani yake. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
His breasts are full of milk, and his bones are moistened with marrow.
In Context
23Mtu mmoja hufa akiwa na nguvu zake kamili, 2 akiwa salama na mwenye raha kamili, 1
25Mtu mwingine hufa katika uchungu wa nafsi, 2 akiwa hajafurahia kamwe jambo lolote zuri. 1
Cross References
Psalms 17:10Huifunga mioyo yao iliyo migumu, 2 vinywa vyao hunena kwa majivuno. 1