Job 21:23
Mtu mmoja hufa akiwa na nguvu zake kamili, 2 akiwa salama na mwenye raha kamili, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
One dieth in his full strength, being wholly at ease and quiet.
In Context
24mwili wake ukiwa umenawiri, 2 nayo mifupa yake ikiwa imejaa mafuta ndani yake. 1
Cross References
Psalms 49:17kwa maana hatachukua chochote atakapokufa, 2 fahari yake haitashuka pamoja naye. 1
Luke 12:19Nami nitaiambia nafsi yangu, “Nafsi, unavyo vitu vingi vizuri ulivyojiwekea akiba kwa miaka mingi. Pumzika; kula, unywe, ufurahi.” ’