The Bible Software
bible.softwareJobJob 21 › Job 21:25

Job 21:25

Mtu mwingine hufa katika uchungu wa nafsi, 2 akiwa hajafurahia kamwe jambo lolote zuri. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And another dieth in the bitterness of his soul, and never eateth with pleasure.

In Context

24mwili wake ukiwa umenawiri, 2 nayo mifupa yake ikiwa imejaa mafuta ndani yake. 1

26Hao wote hulala mavumbini, 2 nao mabuu huwafunika wote. 1

Read all of Job 21

Cross References

2 Samuel 17:8Unamfahamu baba yako na watu wake, ni wapiganaji hodari, nao ni wakali kama dubu mwitu aliyepokonywa watoto wake. Zaidi ya hayo, baba yako ni mpiganaji jasiri, usiku hatalala pamoja na vikosi.

Job 3:20“Mbona nuru inawaangazia wale walio taabuni, 2 na hao wenye uchungu kupewa uhai, 1

Job 9:18Asingeniacha nipumue 2 bali angenifunika kabisa na huzuni kuu. 1

Job 20:23Atakapokuwa amelijaza tumbo lake, 2 Mungu ataionyesha ghadhabu kali dhidi yake, 2 na kumnyeshea mapigo juu yake. 1

Ecclesiastes 6:2Mungu humpa mwanadamu utajiri, mali na heshima, hivyo hakukosa chochote moyo wake unachokitamani. Lakini Mungu hamwezeshi kuvifurahia, badala yake mgeni ndiye anayevifurahia. Hili ni ubatili, ni ubaya unaosikitisha.

Ezekiel 4:16Ndipo Mungu akaniambia, “Mwanadamu, mimi nitakatilia mbali upatikanaji wa chakula katika Yerusalemu. Watu watakula chakula cha kupimwa kwa wasiwasi pamoja na maji ya kupimiwa kwa kukata tamaa,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Job 21:25

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Job 21:24Job 21Job 21:26 →