The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 9 › Ayubu 9:18

Ayubu 9:18

Asingeniacha nipumue 2 bali angenifunika kabisa na huzuni kuu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

He will not suffer me to take my breath, but filleth me with bitterness.

In Context

17Yeye angeniangamiza kwa dhoruba 2 na kuongeza majeraha yangu pasipo na sababu. 1

19Kama ni suala la nguvu, yeye ni mwenye nguvu! 2 Kama ni suala la haki, ni nani awezaye kumwita mahakamani? 1

Read all of Ayubu 9

Cross References

Ruth 1:20Akawaambia, “Msiniite tena Naomi, + 1:20 Naomi maana yake Wa Kupendeza, Wa Kufurahisha. niiteni Mara, + 1:20 Mara maana yake Chungu. kwa sababu Mwenyezi + 1:20 Mwenyezi hapa ina maana ya Shaddai kwa Kiebrania. amenitendea mambo machungu sana.

Job 7:19Je, hutaacha kamwe kunitazama, 2 au kuniacha japo kwa kitambo kidogo tu? 1

Psalms 39:13Tazama mbali nami, ili niweze kufurahi tena 2 kabla sijaondoka na nisiwepo tena.”

Psalms 88:15Tangu ujana wangu nimeteseka, nikakaribia kifo; 2 nimepatwa na hofu zako, nami nimekata tamaa. 1

Lamentations 3:3hakika, amegeuza mkono wake dhidi yangu 2 tena na tena, mchana kutwa. 1

Lamentations 3:18Kwa hiyo nasema, “Fahari yangu imeondoka 2 na yale yote niliyokuwa nimetarajia kutoka kwa Bwana.” 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 9:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 9:17Ayubu 9Ayubu 9:19 →