Job 21:29
Je, hamkuwahi kuwauliza hao wanaosafiri? 2 Je, hamkutafakari taarifa zao: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Have ye not asked them that go by the way? and do ye not know their tokens,
In Context
28Mwasema, ‘Iko wapi sasa nyumba ya huyo mtu mkuu, 2 mahema ambayo watu waovu walikaa?’ 1
30kwamba mtu mwovu huepushwa kutoka siku ya maafa, 2 kwamba huokolewa kutoka siku ya ghadhabu? 1