Job 21:28
Mwasema, ‘Iko wapi sasa nyumba ya huyo mtu mkuu, 2 mahema ambayo watu waovu walikaa?’ 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For ye say, Where is the house of the prince? and where are the dwelling places of the wicked?
In Context
27“Ninayajua kikamilifu yale mnayoyafikiri, 2 mipango ambayo kwayo mngenitendea mabaya. 1
29Je, hamkuwahi kuwauliza hao wanaosafiri? 2 Je, hamkutafakari taarifa zao: 1
Cross References
Numbers 16:26Mose akalionya kusanyiko, “Sogeeni nyuma mbali na mahema ya hawa watu waovu! Msiguse kitu chochote kilicho mali yao, la sivyo mtafagiliwa mbali kwa sababu ya dhambi zao zote.”
Job 8:22Adui zako watavikwa aibu, 2 nazo hema za waovu hazitakuwepo tena.”
Job 20:7ataangamia milele kama mavi yake mwenyewe. 2 Wale waliomwona watauliza, ‘Yuko wapi?’ 1
Job 31:37Ningempa hesabu ya kila hatua yangu, 2 ningemwendea kama mwana wa mfalme.) 1
Psalms 52:5Hakika Mungu atakushusha chini 2 kwa maangamizi ya milele: 1 atakunyakua na kukuondoa kwa nguvu 2 kutoka hema yako, 2 atakungʼoa kutoka nchi ya walio hai. 1
Zechariah 5:4Bwana Mwenye Nguvu Zote asema, ‘Nitaituma hiyo laana, nayo itaingia katika nyumba ya mwizi na nyumba ya huyo aapaye kwa uongo kwa Jina langu. Itabaki katika nyumba yake na kuiharibu, pamoja na mbao zake na mawe yake.’ ” 1 Maono Ya Saba: Mwanamke Ndani Ya Kikapu