Job 21:30
kwamba mtu mwovu huepushwa kutoka siku ya maafa, 2 kwamba huokolewa kutoka siku ya ghadhabu? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
29Je, hamkuwahi kuwauliza hao wanaosafiri? 2 Je, hamkutafakari taarifa zao: 1
31Ni nani hulaumu matendo yake mbele ya uso wake? 2 Ni nani ampatilizaye kwa yale aliyoyatenda? 1
Cross References
Joshua 10:18akasema, “Vingirisheni mawe makubwa kwenye mdomo wa hilo pango, tena wekeni walinzi wa kulilinda.
Psalms 73:5Hawapati shida zinazowataabisha watu wengine, 2 wala hawapati mapigo kama wanadamu wengine. 1
Proverbs 11:4Utajiri haufaidi kitu katika siku ya ghadhabu, 2 bali haki huokoa kutoka mautini. 1
Nahum 1:2Bwana ni mwenye wivu na Mungu mlipiza kisasi; 2 Bwana hulipiza kisasi na amejaa ghadhabu. 1 Bwana hulipiza kisasi juu ya watesi wake, 2 naye anadumisha ghadhabu yake dhidi ya adui zake. 1
Romans 2:5Lakini kwa sababu ya ukaidi wenu na mioyo yenu isiyotaka kutubu, mnajiwekea akiba ya ghadhabu dhidi yenu wenyewe kwa siku ile ya ghadhabu ya Mungu, wakati hukumu yake ya haki itakapodhihirishwa.
2 Peter 3:7Lakini kwa neno lilo hilo, mbingu za sasa na dunia zimewekwa akiba kwa ajili ya moto, zikihifadhiwa hadi siku ile ya hukumu na ya kuangamizwa kwa watu wasiomcha Mungu.