Job 21:6
Ninapowaza juu ya hili, ninaogopa, 2 nao mwili wangu unatetemeka. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Even when I remember I am afraid, and trembling taketh hold on my flesh.
In Context
5Niangalieni mkastaajabu; 2 mkaweke mkono juu ya vinywa vyenu. 1
7Kwa nini waovu wanaendelea kuishi, 2 wakifikia umri wa uzee na kuendelea kuwa na nguvu? 1
Cross References
Psalms 77:3Ee Mungu, nilikukumbuka wewe, nikalia kwa huzuni; 2 nikatafakari, roho yangu ikadhoofika. 1
Psalms 119:120Mwili wangu unatetemeka kwa kukuogopa wewe, 2 ninaziogopa sheria zako. 2 Kuitii Sheria Ya Bwana 1
Lamentations 3:20Ninayakumbuka vyema, 2 nayo nafsi yangu imezimia ndani yangu. 1