Job 21:7
Kwa nini waovu wanaendelea kuishi, 2 wakifikia umri wa uzee na kuendelea kuwa na nguvu? 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Wherefore do the wicked live, become old, yea, are mighty in power?
In Context
6Ninapowaza juu ya hili, ninaogopa, 2 nao mwili wangu unatetemeka. 1
8Huwaona watoto wao wakithibitika 2 wakiwa wamewazunguka, 2 wazao wao mbele za macho yao. 1
Cross References
Job 12:6Hema za wanyangʼanyi hazisumbuliwi, 2 wale wanaomghadhibisha Mungu wako salama: 2 wale wamchukuao mungu wao mikononi mwao. 1
Psalms 37:35Nimemwona mtu mwovu na mkatili akistawi 2 kama mwerezi wa Lebanoni, 1
Ecclesiastes 7:15Katika maisha haya yangu ya ubatili nimeshaona haya mawili: 1 mtu mwadilifu akiangamia katika uadilifu wake, 2 naye mtu mwovu akiishi maisha marefu katika uovu wake. 1
Daniel 4:17“ ‘Uamuzi huu umetangazwa na walinzi, hukumu imetangazwa na watakatifu, ili walio hai wajue kuwa Aliye Juu Sana ndiye anayetawala juu ya falme zote za wanadamu, naye humpa yeyote amtakaye na kumtawaza juu yake hata yeye aliye mnyonge sana miongoni mwa wanadamu.’
Habakkuk 1:15Adui mwovu anawavuta wote kwa ndoana, 2 anawakamata katika wavu wake, 1 anawakusanya katika juya lake; 2 kwa hiyo anashangilia na anafurahi. 1
Revelation 17:2Yule ambaye wafalme wa dunia walizini naye na watu wakaao duniani walilewa kwa mvinyo wa uzinzi wake.”