Maombolezo 3:20
Ninayakumbuka vyema, 2 nayo nafsi yangu imezimia ndani yangu. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
My soul hath them still in remembrance, and is humbled in me.
In Context
19Nayakumbuka mateso yangu na kutangatanga kwangu, 2 uchungu na nyongo. 1
21Hata hivyo najikumbusha neno hili 2 na kwa hiyo ninalo tumaini. 1
Cross References
Job 21:6Ninapowaza juu ya hili, ninaogopa, 2 nao mwili wangu unatetemeka. 1
Psalms 42:11Ee nafsi yangu, kwa nini unasononeka? 2 Kwa nini unafadhaika hivyo ndani yangu? 1 Weka tumaini lako kwa Mungu, 2 kwa sababu bado nitamsifu, 2 Mwokozi wangu na Mungu wangu.
Psalms 44:25Tumeshushwa hadi mavumbini, 2 miili yetu imegandamana na ardhi. 1
Psalms 146:8Bwana huwafumbua vipofu macho, 1 Bwana huwainua waliolemewa na mizigo yao, 2 Bwana huwapenda wenye haki. 1