Job 21:9
Nyumba zao zi salama wala hakuna hofu; 2 fimbo ya Mungu haiko juu yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Their houses are safe from fear, neither is the rod of God upon them.
In Context
8Huwaona watoto wao wakithibitika 2 wakiwa wamewazunguka, 2 wazao wao mbele za macho yao. 1
10Madume yao ya ngʼombe huvyaza bila kushindwa kamwe; 2 ngʼombe wao huzaa wala hawaharibu mimba. 1
Cross References
Job 9:34mtu angeliiondoa fimbo ya Mungu juu yangu, 2 ili utisho wake usiendelee kunitia hofu. 1
Job 18:11Vitisho vimemtia hofu kila upande, 2 na adui zake humwandama kila hatua. 1
Psalms 73:19Tazama jinsi wanavyoangamizwa ghafula, 2 wanatoweshwa kabisa na vitisho! 1