Job 21:8
Huwaona watoto wao wakithibitika 2 wakiwa wamewazunguka, 2 wazao wao mbele za macho yao. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Their seed is established in their sight with them, and their offspring before their eyes.
In Context
7Kwa nini waovu wanaendelea kuishi, 2 wakifikia umri wa uzee na kuendelea kuwa na nguvu? 1
9Nyumba zao zi salama wala hakuna hofu; 2 fimbo ya Mungu haiko juu yao. 1
Cross References
Job 18:19Hana mtoto wala mzao miongoni mwa watu wake, 2 wala aliyenusurika mahali alipoishi. 1
Job 20:28Mafuriko yataichukua nyumba yake, 2 maji yaendayo kasi katika siku ya ghadhabu ya Mungu. 1
Proverbs 17:6Wana wa wana ni taji la wazee, 2 nao wazazi ni fahari ya watoto wao. 1