Ayubu 22:12
“Je, Mungu hayuko katika mbingu za juu? 2 Juu kuliko nyota zilizo juu sana! 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Is not God in the height of heaven? and behold the height of the stars, how high they are!
In Context
11ndiyo sababu ni giza sana huwezi kuona, 2 tena ndiyo sababu mafuriko ya maji yamekufunika. 1
13Hivyo wewe wasema, ‘Mungu anajua nini?’ 2 Je, yeye huhukumu katika giza kama hilo? 1
Cross References
Job 35:5Tazama juu mbinguni ukaone; 2 yaangalie mawingu yaliyo juu sana juu yako. 1
Psalms 115:3Mungu wetu yuko mbinguni, 2 naye hufanya lolote limpendezalo. 1
Ecclesiastes 5:1Linda hatua zako uendapo katika nyumba ya Mungu. Karibia usikilize kuliko kutoa dhabihu ya wapumbavu, ambao hawajui kuwa wanafanya kosa. 1
Isaiah 57:15Kwa maana hili ndilo asemalo Aliye juu, yeye aliyeinuliwa sana, 2 yeye aishiye milele, ambaye jina lake ni Mtakatifu: 1 “Ninaishi mimi mahali palipoinuka na patakatifu, 1 lakini pia pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu 2 na mwenye roho ya unyenyekevu, 1 ili kuzihuisha roho za wanyenyekevu 2 na kuihuisha mioyo yao waliotubu. 1