Ayubu 22:11
ndiyo sababu ni giza sana huwezi kuona, 2 tena ndiyo sababu mafuriko ya maji yamekufunika. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Or darkness, that thou canst not see; and abundance of waters cover thee.
In Context
10Ndiyo sababu mitego imekuzunguka pande zote, 2 hatari ya ghafula inakutia hofu, 1
12“Je, Mungu hayuko katika mbingu za juu? 2 Juu kuliko nyota zilizo juu sana! 1
Cross References
Job 5:14Giza huwapata wakati wa mchana; 2 wakati wa adhuhuri hupapasa kama vile usiku. 1
Job 18:6Mwanga hemani mwake umekuwa giza; 2 taa iliyo karibu naye imezimika. 1
Job 19:8Yeye ameizuia njia yangu hivyo siwezi kupita; 2 ameyafunika mapito yangu na giza. 1
Psalms 42:7Kilindi huita kilindi, 2 katika ngurumo za maporomoko ya maji yako; 1 mawimbi yako yote pamoja na viwimbi 2 vimepita juu yangu. 1
Psalms 69:2Ninazama kwenye vilindi vya matope, 2 pasipo mahali pa kukanyaga, 1 Nimefika kwenye maji makuu, 2 mafuriko yamenigharikisha. 1
Proverbs 4:19Lakini njia ya waovu ni kama giza nene; 2 hawajui kinachowafanya wajikwae. 1