The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 22 › Ayubu 22:24

Ayubu 22:24

kama dhahabu yako ukiihesabu kama mavumbi, 2 dhahabu yako ya Ofiri kama miamba ya mabondeni, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then shalt thou lay up gold as dust, and the gold of Ophir as the stones of the brooks.

In Context

23Kama ukimrudia Mwenyezi, utarudishwa upya: 2 Kama ukiuondoa uovu uwe mbali na hema lako, 1

25ndipo Mwenyezi atakuwa dhahabu yako, 2 naye atakuwa fedha yako iliyo bora. 1

Read all of Ayubu 22

Cross References

1 Kings 9:28Wakasafiri kwa bahari mpaka Ofiri na kurudi na talanta 420 + 9:28 Talanta 420 za dhahabu ni sawa na tani 14. za dhahabu, ambazo walimkabidhi Mfalme Solomoni.

1 Kings 22:48Wakati huu Yehoshafati akaunda merikebu nyingi za biashara + 22:48 Au: za Tarshishi (ona pia 1Fal 10:22; 2Nya 9:21; 20:36; Isa 2:16; 60:9 ). ili kwenda Ofiri kuchukua dhahabu, lakini kamwe hazikusafiri, kwa maana zilivunjika huko Esion-Geberi.

2 Chronicles 1:5Lakini yale madhabahu ya shaba ambayo Bezaleli mwana wa Uri, mwana wa Huri, alikuwa ametengeneza yalikuwa huko Gibeoni mbele ya Maskani ya Bwana Mungu, hivyo Solomoni na kusanyiko lote walimtafuta Mungu huko.

2 Chronicles 9:27Mfalme akafanya fedha kuwa kitu cha kawaida kama mawe huko Yerusalemu, mierezi akaifanya kuwa mingi kama mikuyu vilimani.

Psalms 45:9Binti za wafalme ni miongoni mwa wanawake wako waheshimiwa; 2 kuume kwako yupo bibi arusi malkia aliyevaa dhahabu ya Ofiri. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 22:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 22:23Ayubu 22Ayubu 22:25 →