The Bible Software
bible.softwareAyubuAyubu 22 › Ayubu 22:23

Ayubu 22:23

Kama ukimrudia Mwenyezi, utarudishwa upya: 2 Kama ukiuondoa uovu uwe mbali na hema lako, 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

If thou return to the Almighty, thou shalt be built up, thou shalt put away iniquity far from thy tabernacles.

In Context

22Uyapokee mafundisho toka kinywani mwake, 2 na maneno yake uyaweke moyoni mwako. 1

24kama dhahabu yako ukiihesabu kama mavumbi, 2 dhahabu yako ya Ofiri kama miamba ya mabondeni, 1

Read all of Ayubu 22

Cross References

2 Chronicles 33:13Naye alipomwomba, Bwana akaguswa na kule kusihi kwake na akasikiliza kilio chake, kwa hiyo akamrudisha Yerusalemu na kwenye ufalme wake. Ndipo Manase akatambua kwamba Bwana ndiye Mungu.

Job 8:6ikiwa wewe ni safi na mnyofu, 2 hata sasa atainuka mwenyewe kwa niaba yako, 2 na kukurudisha katika mahali pako pa haki. 1

Job 12:14Kile anachokibomoa hakiwezi kujengeka tena; 2 mtu aliyefungiwa naye hawezi kufunguliwa. 1

Psalms 130:4Lakini kwako kuna msamaha, 2 kwa hiyo wewe unaogopwa. 1

Isaiah 31:6Mrudieni yeye ambaye nyumba ya Israeli imemwasi sana.

Isaiah 55:6Mtafuteni Bwana maadamu anapatikana; 2 mwiteni maadamu yu karibu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 22:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 22:22Ayubu 22Ayubu 22:24 →