Ayubu 22:27
Utamwomba yeye, naye atakusikia, 2 nawe utazitimiza nadhiri zako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Thou shalt make thy prayer unto him, and he shall hear thee, and thou shalt pay thy vows.
In Context
26Hakika ndipo utakapojifurahisha kwa Mwenyezi, 2 nawe utamwinulia Mungu uso wako. 1
28Utakusudia jambo nalo litatendeka, 2 nao mwanga utaangazia njia zako. 1
Cross References
2 Kings 13:4Ndipo Yehoahazi akamsihi Bwana rehema, naye Bwana akamsikiliza, kwa maana aliona jinsi mfalme wa Aramu alivyokuwa akiwatesa Israeli vikali.
2 Chronicles 33:13Naye alipomwomba, Bwana akaguswa na kule kusihi kwake na akasikiliza kilio chake, kwa hiyo akamrudisha Yerusalemu na kwenye ufalme wake. Ndipo Manase akatambua kwamba Bwana ndiye Mungu.
Job 34:28Wamesababisha kilio cha maskini kifike mbele zake, 2 hivyo akasikia kilio cha wahitaji. 1
Psalms 56:12Ee Mungu, nina nadhiri kwako, 2 nitakutolea wewe sadaka zangu za shukrani. 1
Psalms 66:17Nilimlilia kwa kinywa changu, 2 sifa zake zilikuwa katika ulimi wangu. 1
Psalms 116:1Ninampenda Bwana kwa maana amesikia sauti yangu; 2 amesikia kilio changu ili anihurumie. 1