Ayubu 22:26
Hakika ndipo utakapojifurahisha kwa Mwenyezi, 2 nawe utamwinulia Mungu uso wako. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For then shalt thou have thy delight in the Almighty, and shalt lift up thy face unto God.
In Context
25ndipo Mwenyezi atakuwa dhahabu yako, 2 naye atakuwa fedha yako iliyo bora. 1
27Utamwomba yeye, naye atakusikia, 2 nawe utazitimiza nadhiri zako. 1
Cross References
Job 27:10Je, anaweza kumfurahia Mwenyezi? 2 Je, atamwita Mungu nyakati zote? 1
Psalms 25:1Kwako wewe, Ee Bwana, 2 nainua nafsi yangu, 1
Psalms 86:4Mpe mtumishi wako furaha, 2 kwa kuwa kwako wewe, Ee Bwana, 2 ninainua nafsi yangu. 1
Song of Solomon 2:3Kama mti wa mtofaa miongoni mwa miti ya msituni 2 ndivyo alivyo mpenzi wangu 2 miongoni mwa wanaume vijana. 1 Ninafurahia kuketi kivulini mwa mwanaume huyu, 2 na tunda lake ni tamu kwangu. 1
Romans 7:22Kwa maana katika utu wangu wa ndani naifurahia sheria ya Mungu.