The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 34 › Ayubu 34:23

Ayubu 34:23

Mungu hana haja ya kumchunguza mtu sana, 2 ili apate kuja mbele zake kwa hukumu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

For he will not lay upon man more than right; that he should enter into judgment with God.

In Context

22Hakuna mahali penye giza nene, wala uvuli mkubwa, 2 ambapo watenda mabaya wanaweza kujificha. 1

24Bila kuuliza huwapondaponda wenye nguvu nyingi 2 na kuwaweka wengine mahali pao. 1

Read all of Ayubu 34

Cross References

Ezra 9:13“Yale yaliyotupata ni matokeo ya matendo yetu mabaya, pia hatia yetu kubwa. Hata hivyo, wewe Mungu wetu, umetuadhibu kidogo kuliko dhambi zetu zilivyostahili na umetupa mabaki kama haya.

Job 9:32“Yeye si mwanadamu kama mimi ili niweze kumjibu, 2 ili kwamba tuweze kushindana naye mahakamani. 1

Job 11:11Hakika anawatambua watu wadanganyifu; 2 naye aonapo uovu, je, haangalii? 1

Job 23:7Hapo mtu mwadilifu angeweka shauri lake mbele zake, 2 nami ningeokolewa milele na mhukumu wangu. 1

Psalms 119:137Ee Bwana, wewe ni mwenye haki, 2 sheria zako ni sahihi. 1

Jeremiah 2:5Hivi ndivyo asemavyo Bwana: 1 “Je, baba zenu waliona kosa gani kwangu, 2 hata wakatangatanga mbali nami hivyo? 1 Walifuata sanamu zisizofaa, 2 nao wenyewe wakawa hawafai. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 34:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 34:22Ayubu 34Ayubu 34:24 →