The Bible Software
bible.software › Ayubu › Ayubu 23 › Ayubu 23:10

Ayubu 23:10

Lakini anaijua njia niiendeayo; 2 akiisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But he knoweth the way that I take: when he hath tried me, I shall come forth as gold.

In Context

9Anapokuwa kazini pande za kaskazini, simwoni; 2 akigeukia kusini, nako simwoni hata kidogo. 1

11Nyayo zangu zimefuata hatua zake kwa karibu; 2 nimeishika njia yake bila kukengeuka. 1

Read all of Ayubu 23

Cross References

Genesis 18:19Kwa maana nimemchagua yeye, ili awaongoze watoto wake na jamaa yake kufuata njia ya Bwana, kwa kuwa waadilifu na kutenda haki, ili Bwana atimize ahadi yake kwa Abrahamu.”

2 Samuel 22:22Kwa maana nimezishika njia za Bwana; 2 sijatenda ubaya nikamwacha Mungu wangu. 1

Job 1:11Lakini nyoosha mkono wako na kupiga kila kitu alicho nacho, naye kwa hakika atakulaani mbele za uso wako.”

Job 10:7ingawa wajua kuwa mimi sina hatia, 2 na hakuna awezaye kunitoa mkononi mwako? 1

Job 31:6Mungu na anipime katika mizani za uaminifu, 2 naye atajua kwamba sina hatia: 1

Job 42:5Masikio yangu yalikuwa yamesikia habari zako, 2 lakini sasa macho yangu yamekuona. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study Ayubu 23:10

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Ayubu 23:9Ayubu 23Ayubu 23:11 →