Ayubu 23:14
Hutimiliza maagizo yake dhidi yangu, 2 na bado anayo mipango mingi kama hiyo ambayo ameiweka akiba. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For he performeth the thing that is appointed for me: and many such things are with him.
In Context
13“Lakini yeye husimama peke yake; ni nani awezaye kumpinga? 2 Yeye hufanya lolote atakalo. 1
15Hiyo ndiyo sababu ninaingiwa na hofu mbele zake; 2 nifikiriapo haya yote ninamwogopa. 1
Cross References
Job 7:3ndivyo nilivyogawiwa miezi ya ubatili, 2 nami nimeandikiwa huzuni usiku hata usiku. 1
Psalms 77:19Njia yako ilipita baharini, 2 mapito yako kwenye maji makuu, 2 ingawa nyayo zako hazikuonekana. 1
Isaiah 40:27Kwa nini unasema, ee Yakobo, 2 nanyi ee Israeli, kulalamika, 1 “Njia yangu imefichwa Bwana asiione, 2 Mungu wangu hajali shauri langu?” 1
Romans 11:33Tazama jinsi kilivyo kina cha utajiri 2 wa hekima na maarifa ya Mungu! 1 Tazama jinsi ambavyo hukumu zake hazichunguziki, 2 na ambavyo njia zake zisivyotafutikana! 1
1 Thessalonians 5:9Kwa maana Mungu hakutuita ili tupate ghadhabu bali tupate wokovu kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo.