Job 7:3
ndivyo nilivyogawiwa miezi ya ubatili, 2 nami nimeandikiwa huzuni usiku hata usiku. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So am I made to possess months of vanity, and wearisome nights are appointed to me.
In Context
Cross References
Job 16:7Ee Mungu, hakika umenichakaza; 2 umewaangamiza kabisa watu wa nyumbani mwangu wote. 1
Job 29:2“Tazama jinsi ninavyoitamani miezi iliyopita, 2 zile siku ambazo Mungu alikuwa akinilinda, 1
Psalms 6:7Macho yangu yamedhoofika kwa kuhuzunika, 2 yamedhoofika kwa sababu ya adui zangu wote. 1
Ecclesiastes 1:14Nimeshaona mambo yote yanayotendeka chini ya jua, hayo yote ni ubatili, hii ni kukimbiza upepo. 1