Ayubu 23:17
Hata hivyo sijanyamazishwa na giza, 2 wala kwa giza nene linalofunika uso wangu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Because I was not cut off before the darkness, neither hath he covered the darkness from my face.
In Context
16Mungu ameufanya moyo wangu kuzimia; 2 yeye Mwenyezi amenitia hofu. 1
Cross References
2 Kings 22:20Kwa hiyo nitakukusanya kwa baba zako, nawe utazikwa kwa amani. Macho yako hayataona maafa yote nitakayoleta juu ya mahali hapa.’ ” Basi wakapeleka jibu lake kwa mfalme.
Job 15:22Hukata tamaa kuokoka gizani; 2 amewekwa kwa ajili ya upanga. 1
Job 18:18Ameondolewa nuruni na kusukumiwa gizani, 2 naye amefukuzwa mbali atoke duniani. 1
Job 22:11ndiyo sababu ni giza sana huwezi kuona, 2 tena ndiyo sababu mafuriko ya maji yamekufunika. 1