Job 24:21
Huwafanya mawindo wanawake tasa na wasio na watoto, 2 nao hawaonyeshi huruma kwa wajane. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He evil entreateth the barren that beareth not: and doeth not good to the widow.
In Context
22Lakini Mungu huwakokota wenye nguvu kwa uwezo wake; 2 ingawa wamestawi, hawana hakika ya maisha. 1
Cross References
Job 22:9Umewafukuza wajane mikono mitupu 2 na kuzivunja nguvu za yatima. 1
Job 29:13Mtu aliyekuwa karibu kufa alinibariki, 2 nami niliufanya moyo wa mjane kuimba. 1
Proverbs 15:25Bwana hubomoa nyumba ya mtu mwenye kiburi, 2 bali huilinda mipaka ya mjane isiguswe. 1